Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati) akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye ni mdau katika sekta ya maji aliyeshiriki katika hafla hiyo
Sehemu ya waalikwa waliohudhuria halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani
Waziri wangu naomba niwe stylist wako. Suti zako kali ila kumbuka wewe ni Waziri wa Maliasili na Utalii, inabidi siku moja moja utupie kitenge, au ka linen shirt ka Mwanamboka au Hassanali au katie ka african print kidogo kuonyesha utanzania kidogo!!
ReplyDeleteMarekebisho Mzee michuzi, John Bongiorno ni advisor wa
ReplyDeleteafrica 6000