Baadhi
ya Watoto wakionyesha ujuzi wa kucheza sarakasi kwenye uwanja wa
Kasulu, Mburahati kwa Jongo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge
iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto kupitia mradi wa Fit For Life.
Ngoma za samba regge kutoka Brasili zikichezwa kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo
Kaimu
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza
akitoa hatuba yake kwa wananchi na wapenzi wa muziki na sarakasi
waliofika kwenye onyesho hilo
Mkurugenzi
wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut ambaye pia ni
Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life, Eleonore Sylla akisema machache
wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
Mratibu wa kimataifa wa mradi wa Fit for life, Daniela Titze akisema machache wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...