JESHI LA POLISI MKOANI PWANI,LINAWASHIKILIA VIJANA 23 WALIOKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA KETE 354 ZA BANGI,PUNI 4,MISOKOTO 8 PAMOJA NA PANGA 1,VISU VINNE NA SIME 3,IKIWA NI KATIKA SEHEMU YA UPEKUZI WA MAGARI YATOKAYO DAR ES SALAAM AMBAPO KATIKA UPEKUZI HUO WATUHUMIWA HAO WALIPATIKANA.
KATI YA WATUHUMIWA HAO 7 WAMESHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUPATIKANA NA MAKOSA WALIYOKUTWA NAYO NA WENGINE WALIACHIWA BAADA YA KUPATIKANA NA MAKOSAJI HALISI.
KIASI HICHO CHA BANGI KINGEINGIA MWALONI KINGELETA MADHARA MAKUBWA KWA JAMII
Bangi na madawa ya kulevya vipigwe vita mpka vitoweke nchi hii. Kujitajirisha kwa kuharibu akili za watu na kuiweka jamii hatarini havikubaliki. Wiki iliyopita kijana wa nmiaka arobaini aliyekuwa ameathiriwa na madawa ya kulevya kwa miaka 20 na kutafutiwa tiba sehemu mbalimbali bila mafanikio aliua mama yake mzazi. Siyo wa kwanza huu ni unyama.
ReplyDelete