Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wakiwa
kwenye Jengo la mapokezi ya wagonjwa (OPD) ambalo linajengwa katika eneo
la Mabwepande, likiwa ni sehemu ya Hospitali ya Jimbo la Kawe katika
Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, walipotembelea kiradi mbalimbali
ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2010-2015 katika jimbo la Kawe.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni Yussuf Mwenda, akizungumza na watumishi wa
Manispaa hiyo yeye na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya
Kinondoni walipofika kwenye mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Jimbo la
Kawe unaofanyika Mambwepande, jana.
Mwenda
(wapili kushoto) akikagua ujenzi wa jengo la kupokea wagonjwa (OPD) la
hospitali ya Jimbo la Kawe inayojengwa Mabwepande, Dar es Salaam.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...