Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...