Baadhi ya Wananchi wa Mjini Dodoma wakipata maelezo ya Uwekezaji na Uwezeshaji kutoka
kwa Mchumi Mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Vedasto Manumbu walipotembelelea
Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Mjini Dodoma,
Viwanja vya Nzuguni.
Mratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mollay akifafanua uratibu wa
shughuli za serikali kwa Wanafunzi Shule ya Msingi Nzuguni “B” walipotembelea Banda la
Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Mjini Dodoma, Viwanja
vya Nzuguni.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nzuguni “B” wakisoma Picha zenye historia za Mawaziri
Wakuu Wastaafu wa Tanzania, zilizopo katika Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho
ya Nane Nane yanayoendelea Mjini Dodoma, Viwanja vya Nzuguni.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...