MKUU WA WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI) AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI, (WAPILI KULIA) NI AFISA MAKOSO WA PSPF RAHMA NGASSA. (KUSHOTO) NI OMARI KALILO AFISA MFAWIDHI WA PSPF MKOA WA LINDI.
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.
MENEJA MIRADI MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MASOUD AKITOA MAELEZO KWA WATU MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...