Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), wakizindua kwa
pamoja huduma
mpya ya India Desk
inayowaunganisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini India kufanya
huduma za kibenki bila ya kuwa na akaunti nchini. Wa pili kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay, mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi, Ally Laay (kushoto), Celina Mkonyi (kulia). Uzinduzi huo ulifanyika
jijini Dar es Salaam.
Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), Wa pili kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay, mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi, Ally Laay (kushoto), Celina Mkonyi (kulia).
Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), Wa pili kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay wakiwa na furaha baada ya kuzindua huduma hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati) akiwa na maofisa wa Benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya India Desk.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Watanzania wabunifu kweli.
ReplyDeleteMngewacha na matumbo nje ndiyo ingekuwa kweli India desk
ReplyDeleteThe mdudu,hii ni hatali sn tunakoelekea hata akina AFANDE SELE WA MORO watasema tunahitaji morogoro desk,ndugu zangu watanzania tusiigawe nchi kwa matabaka hivi kule India wanaweza kuwaekea watanzania hiyo kitu inayoitwa Tanzania desk? Jibu haitotokea kamwe haya ni maajabu ya musa hayo mambo ya ajabu ajabu yanatokea Tanzania tu,mm naona mngekuja nakitu inayoitwa watoto wa kitanzania masikini na mayatima DESK namkiona inafanya vizuri mnakuja na mabibi na mabwana wasiojiweza DESK.hapo kweli ningekuoneni wabunifu,lakini wapi wenye fungu ndio wanaoongezewa huku mtanzania halisi na mwenye nchi AKITAABIKA kweli kusoma sio akili wakurugenzi wa BANK ndio wanaokuja na ubunifu wa INDIA DESK na CHINA DESK mm the mdudu nasubili kwa hamu DESK LA WATANZANIA WA VIJIJINI WANAOTESEKA NDANI YA NCHI YAO na nyie mnaokenua meno kwa kuvalishwa migolole ya kihindi nakutakieni maisha mafupi or sorry maisha mafupi.mjomba michuzi pliz usiubanie huu ujumbe coz inaniuma sn moyoni.
ReplyDelete