Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Rais alitoa hotuba nzuri. Kilichokuwa kinaboa na kushangaza ni hao waliokuwa wakiimba kwa makelele kusifia uongo (SIJUI LINI TUTAJIFUNZA KUACHA HAYA MAMBO YA TANU?) Tungetumia nguvu zaidi kujifunza wimbo wa Taifa ambao jana hiyo kila mmoja alikuwa akiimba kivyake vyake, wengine wakiimba Mungu ibariki Africa wengine ibariki Tanzania. Rais wetu mwenyewe hapendi kusifiwa kama vile wanavyopenda madikteta wengine wa Africa. Sasa hao wanawake waliokuwa wakiimba Baba..baba...baba hawakushtuka tu?


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...