Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za (MKOBA) wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha C B E jijini Dar es Salaam.Pichani kulia ni Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.Mafunzo hayo yalitolewa na CBE kwa watoa huduma za Afya 72 kutoka Mikoa mbalimbali nchini.
 Mhadhiri Msaidizi ICT, Ogakhan Nyamu akisisitiza jambo wa hafla hiyo.
 Watumishi huduma za (MKOBA) na uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania walioitimu mafunzo ya IT wakimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller, wakati akifunga mafunzo hayo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...