Mkurungenzi wa
Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano akitoa hutuba yake wakati wa
ufunguzi wa Airtel Rising Stars ngazi ya taifa uwanja wa Karume jana.
Mjumbe wa heshima wa
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Said El-Maamry akisalimiana na wachezaji
wakati wa ufunguzi wa Airtel Rising Stars ngazi ya taifa uwanja wa Karume jana.
Mshambuliaji wa timu ya wasichana
ya Amina Ally (jezi nyekundi) akichuana vikali na mlinzi wa Zanzibar Sarah
Hashimi katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa
kwenye uwanja wa Karume jana. Temeke ilishinda 6-1.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...