Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal
akitoa hotuba yake wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi
wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye
hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya Unilever kwa Afrika Mashariki,Marc Engel akitoa
hotuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO
FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam.
Meneja
Masoko na Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Unilever Tanzania,Teresia
Kamweru akitoa shukrani zake kwa Mgeni Rasmi na Wadau mbali mbai
walioshiriki kwenye hafla hiyo ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO
FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal akipokea zawadi ya picha ya mchoro kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever kwa Afrika Mashariki,Marc Engel mara baada ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 

Warembo wakiwa na mfano wa Sabuni ya OMO FastAction wakati wa Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...