Mkutano Mkuu wa Shirikisho la mpira wa kikapu Barani Africa umemalizika nchini Madagascar,ambapo katika mkutano huo alichaguliwa Rais mpya wa FIBA Africa ambaye ni Ndg. Humane Niang kutoka nchini Mali, pia Ndg. Hisham El Hariri kutoka Misri alichaguliwa kuwa Rais wa FIBA Africa zone V.
Pichani Ndg. Niang akipongezwa na baadhi ya Wajumbe waliohudhulia Mkutano huo akiwepo Ndg. Phares Magesa (katikati).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...