Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (kushoto) akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za MKOBA wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha CBE jijini Dar es Salaam, wakwanza kulia Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya Tekenolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.
Mhadhiri Msaidizi ICT, Ogakhan Nyamu akisisitiza jambo wa hafla hiyo.
watumishi huduma za MKOBA wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania walioitimu mafunzo ya IT wakisikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller, wakati akifunga mafunzo hayo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...