Gari hili lina siku 4 tu toka lifike kutoka Uingereza. Lipo Sinza karibu na Sheli ya Big Bonn Petrol Station jijini Dar es salaam. Lina hali nzuri na tayari kuanza kazi wakati wowote. Madalali hawatakiwi....
Kama unalihitaji kwa maelewano
piga simu namba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...