Ngoma ya "I Am A Disco Dancer " na Mithun Chakraborty si mchezo
Na Sultani Kipingo
Disco Dancer ni filamu ya Kihindi ya mwaka 1982, iliyoongozwa na Babbar
Subhash, steringi wake akiwa Mithun Chakraborty na Rajesh Khanna alicheza kama promota wa kijana anayecheza
disco. Ni filamu iliyoeleza hadhithi ya kijana aliyetoka kwenye ufukara na
kuwa tajiri kwa kucheza disco.
Ilipata umaarufu kwa nyimnbo za disco
zilizotungwa na Bappi Lahari na
kuchezwa na Mithun Chakraborthy. Nyimbo
zilikuwa “I am a Disco Dancer" na "Yaad Aa Raha Hai" zilizochewea na Mithun na kuimbwa na Bappi
Lahiri wakati wimbo “ Goro Ki Na Kaalo Ki” ulichezwa na Rajesh Khanna na kuimbwa na Suresh Wadkar pamoja na Usha Mangeshkar
Filamu hiyo ilijipatia umaarufu
mkubwa duniani, hata Urusi na China walizimia
nayo kiasi hata kuipatia tuzo!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...