Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue akitoa nasaha zake kwa wanafunzi
(watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati
wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa
Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam..jpg)
.jpg)
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Frederiks akitoa hotuba yake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi
wakisikiliza kwa makini hotuba toka kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi
Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti,
2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Misheni ya Uholanzi, Bi. Hinke Nanta (kushoto) akijadiliana
jambo na Katibu Mkuu Kiongozi (katikati) wakati wa hafla ya kuwaaga
wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la
Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wakitanzania waliopata udhamini kamili wa masomo katika vyuo
mbalimbali nchini Uholanzi wakifurahi kwa pamoja wakiwa na wageni wegine
waalikwa pamoja na mgeni rasmi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao
iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es
Salaam.
(Picha zote na Benedict Liwenga-MAELEZO).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...