Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka
akizungumza wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika
ukumbi Siasa ni Kilimo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo
Steven Mhapa.
Baadhi ya madiwani wakifuatilia majadiliano katika kikao hicho
yakiendelea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya
ya Iringa katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
Baadhi ya wakuu wa idara wa halmshauri ya wilaya ya Iringa wakifuatilia majadiliano katika kikao hicho
yakiendelea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya
ya Iringa katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo(picha na Denis Mlowe)
Madiwani wakichangia majadiliano.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...