Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kweli hakukosea mwanamuziki Samba Mapangala katika wimbo wake wa 'Marina". Nadhani cha muhimu katika mapenzi ni upendo wa dhati, uaminifu, maelewano, kuvumiliana, kujaliana kwa kila hali na kila mmoja kuzikubali tofauti za mwenziwe. Mengine yanayofatia ni muendelezo wa hayo katika kudumisha upendo wa dhati.

    Mungu awabariki wawili hao wadumu na wawe mfano mzuri wa kuigwa katika jamii na kwengineko kote.

    ReplyDelete
  2. why this a news?

    ReplyDelete
  3. Once you go Black, You never Come Back. Chezea Damu ya Kiafrika, kitu moto.....Kweli kipenda Roho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...