![]() |
EDDA JOSEPH PANJA (MRS PETER MALEKELA) 28/10/1960 - 06/08/2012 |
TUMEHESABU SIKU, WIKI, MIEZI, HADI SASA NI MIAKA,MIWILI.TANGU
ULIPOTUTOKA TAREHE 06/08/2012
KATIKA HOSPITALI YA MKOA MOROGORO.
TUNAKUKUMBUKA KWA WEMA WAKO, USHAURI NA
MCHANGO WAKO KWA FAMILIA YETU.
MIMI MUMEO PETER MALEKELA WATOTO BARAKA, MARIA,
BEATRICE, BABA YAKO MZAZI JOSEPH PANJA, DADA YAKO SOPHIA NA SHEMEJI YAKO MTOI.
WOTE WANAKUKUMBUKA AIDHA SHUKRANI ZIWAENDEE MADAKTARI WA HOSPITALI YA MKOA WA
MOROGORO NA SHUKRANI ZA PEKEE ZIMFIKIE DR. MWAIPAJA WA SHIRIKA LA MZINGA
MOROGORO WALIOJARIBU KUOKOA MAISHA YAKO BILA YA MAFANIKIO.
BWANA ALITOA NA
BWANA AMETWAA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...