Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Jumuiya ya
Mashariki, Mhe Paul Kagame wa Rwanda, Mhe Yoweri Museveni wa Uganfda,
Mhe Uhuru Kenyatta wa Kenya na MhePierre Nkurunzinza wa Burundi wakati
wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika katika makao
makuu ya chama cha wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini
Washington DC. PICHA NA IKULU
Home
Unlabelled
MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA WA WAWEKEZAJI MAREKANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kagame siku hizi ni mwanamke ebooo mbona unatuchanganya ankal michizi???
ReplyDeleteMarais wetu wa Afrika mashariki tafuteni wawekezaji watakao saidia maendeleo na kuimarisha huduma za umeme, maji, kilimo, utalii, teknolojia za nyumba bora, uchimbaji raslimali, mahoteli etc
ReplyDelete