MTANGAZAJI machachari wa habari za michezo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Maulid Baraka Kitenge (pichani) leo kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza rasmi kubwaga manyanga (kuacha kazi) katika Kampuni hiyo aliyokuwa akiifanyia kazi baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 14. chini ni ujumbe wake aliouandika kupitia akaunti yake ya Twitter.
Home
Unlabelled
Maulid Kitenge abwaga manyanga ITV na Radio one leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kla la kheri huko uendako, heshima nyumbani kwanza,, umaarufu baadae
ReplyDelete