Bwana Harusi Abuu Almas Maige akiwa amepozi na Mkewe,Bi.Zainab Binti Ahmed Lukuta mara baada ya kufunga ndoa yao huko Kigamboni mwishoni mwa wiki.
Bwana Harusi akiwa na Wazazi wake Mzee Maige na Mkewe.
Bwana Harusi Abuu Almas Maige akiwa amepozi na Mkewe,Bi.Zainab Binti Ahmed Lukuta mara baada ya kufunga ndoa yao huko Kigamboni mwishoni mwa wiki,pichani nyuma wakiwa na Wazazi wao katika picha ya pamoja mara baada ya ndoa kufungwa.
Hongera sana abuu, ila usisahau kuwa mke ni dhamana na ww ndie unatarajiwa kumfanya mkeo amjuwe muumba wake, ndoa ni furaha sanaaa lkn bado maagizo ya Allah hayabadiliki. angalia hizi picha zenu kisha rejea kitabu chetu na uone wapi umeteleza.
ReplyDeleteHongereni maharusi na mungu aibariki ndoa yenu mpate vizazi bora inshallah. Mdau Hussein Mgumba- Salasala Dsm
ReplyDelete