Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo (pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa Barabara hiyo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa  lori hilo lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana kuugulia maumivu makali kwenye Mkono.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoka huduma ya Kwanza kwa Majeruhi wa ajali hiyo.Huyu ni Dreva akijaribu kuwasha Gari hilo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akiendelea kutoa huduma ya kwanza kwa Majeruhi kabla  ya kumkimbiza kwenda hospitali ya Wilaya ya Mikumi.Picha na Festo Sanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mungu akubariki Mheshimiwa kwa msaada uliotoa

    ReplyDelete
  2. PPE (Personal Protective Equipments) ni haki ya mtoa huduma ya kwanza na muhudiwa vile vile: Next time mheshimiwa zingatia hilo

    ReplyDelete
  3. Muheshimiwa uendelee na moyo wa kuwa na imani, lakini usishike majeraha ya vidonda vinavyovuja damu kwa mkono.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...