Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo (pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa Barabara hiyo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa lori hilo lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana kuugulia maumivu makali kwenye Mkono.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoka huduma ya Kwanza kwa Majeruhi wa ajali hiyo.
Huyu ni Dreva akijaribu kuwasha Gari hilo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akiendelea kutoa huduma ya kwanza kwa Majeruhi kabla ya kumkimbiza kwenda hospitali ya Wilaya ya Mikumi.Picha na Festo Sanga.
Mungu akubariki Mheshimiwa kwa msaada uliotoa
ReplyDeletePPE (Personal Protective Equipments) ni haki ya mtoa huduma ya kwanza na muhudiwa vile vile: Next time mheshimiwa zingatia hilo
ReplyDeletegloves
ReplyDeleteMuheshimiwa uendelee na moyo wa kuwa na imani, lakini usishike majeraha ya vidonda vinavyovuja damu kwa mkono.
ReplyDelete