Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Kilimo Kwanza kutoka kwa Yusuf Sinare Yusuf ambayo imetolea na Baraza la Taifa la Kueneleza Wakulima (ACT) kwa niaba ya wakulima, wafugaji na wavuvi nchini katika monyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kikanda na kufungwa na Waziri Mkuu jijini Mwanza August 8, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama batamzinga kwenyebanda la wilaya ya Ukerewe katika maonyesho ya wakulima Nanenane ya kanda ya ziwa yaliyofanyika jijini Mwanza August 8, 2014 na kufungwa na Waziri Mkuu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...