Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na ujumbe wake, akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, wakiwa katika picha ya pamoja na mtumishi wa Hoteli ya Continental ya Dubai, ambaye kwa sasa ndiye Mtu Mrefu Duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Aha, nilikurupuka na nilikuwa sijaisoma hiyo caption vizuri; samahani wana jamvi.

    ReplyDelete
  2. Mtu mrefu dunia si huyu Abdul Jabber (216cm) bali ni Sultan Kosen (251.4cm)...

    Huyu bwana ni mfupi hata kwa Hashim Thabit (221cm).

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa wa kati kati mrefu sana angekuwa Marekani angekuwa mcheza mprira wa basket

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...