Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akipokea maelezo ya kitaalam
alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni ya General Electric (GE) ya nchini Marekani inayojishughulisha na utengenezaji na uuzaji
wa vifaa vya kufua umeme. Moja ya bidhaa zao ni mitambo ya kufua umeme
itakayotumika katika mradi wa kufua
umeme wa Kinyerezi I wa kiasi cha
megawati 150.
Home
Unlabelled
WAZIRI MUHONGO atembelea makao makuu ya kampuni ya General Electric ya Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...