Mona Lisa (pia huitwa La Giocconda ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri duniaLeonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini Paris maarufu kama Louvre. Nat King Cole aliutungia wimbo mchoro huu ambao sifa zake si za kawaida
Home
Unlabelled
mona lisa: mchoro maarufu kuliko yote duniani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wimbo huo naupenda sana, na nakumbuka waziwazi nilipousikia kwa mara ya mwanzo. Tulikuwa kwenye meli kutoka Mwanza kwenda Kampala, na katika meli hiyo wimbo huo ukiimbwa na kijana S Dunda.Wimbo huo uliandikwa na Ray Evans na Jay Livingston.
ReplyDelete