Familia ya ndugu Martin Kibusi na Steven kibusi inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Lucia Kibusi kilichotokea August 15/2014 boston MA. Msiba upo nyumbani kwake Martin 364 Main st Apt 6 Reading, MA 01867.mipango ya kusafirisha mwili kwenda Tanzania inaendelea,tunaomba ushirikiano wenu wa hali na mali

kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na
Martin Kibusi 16179436400
Steven kibusi. 16173142910
Margareth Pelelwa Shauri 7816326161
Mapi Andrew Mwankemwa
857 251-8881
Vilevile unaweza kutuma mchango kwa,Martin Richard Kibusi
Bank of America
Account number 4648847964
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Yussufu LaizaAugust 19, 2014

    Inna Lillahi wa inna ilayhi raajioun..kwake Mungu tumetoka na kwake tutarejea. Hakika msiba huu ni wetu sote. Tupo pamoja katika kumuomba Mungu awape ujasiri na moyo wa subira Martin na nduguye waweze kumleta mama yao ili apumzike mahala pake pa milele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...