Home
Unlabelled
NANI KAMA BABA....???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu baba katoa mpya hii siyo kawaida, inaonyesha mabadiliko.
ReplyDeleteSafi sana. Malezi ni kutoka kwa wazazi wote wawili.
ReplyDeleteHuyu ndiyo mwanamme haswa anajua wajibu wake wa kuwa baba.Inapaswa wanaume wote kuiga mfano wake na wanaume mtakuwa na heshima kubwa ya kweli katika jamii.
ReplyDeleteHongera baba!
ReplyDeleteIla sidhani kama hayo maongezi ya simu aliyoipokea ni muhimu kuliko usalama wa mtoto.
Alitakiwa asimame aongee na simu ,then aendelee na safari.
Kumbuka hiyo ni baiskeli ina matairi mawili na umebeba kiumbe!
Hongera sana ila weka usalama kwanza,simu baadaye!!!