Mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Mirerani, Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Amani Augostino (14) akiwaonyesha wakaazi wa kata hiyo mfano wa nyumba ya ghorofa aliyoitengeneza kwa maboksi ya karatasi na ambayo anaiuza kwa shilingi 10,000. Alipohojiwa amesema nyumba hiyo ameitengeneza yeye mwenyewe na kwamba yeye ndoto yake ni kuwa msanifu wa majengo awapo mkubwa. Picha na Joseph Lyimo
Home
Unlabelled
mtoto mbunifu wa mirerani aonesha kipaji chake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...