Mzee wa Macharanga Charles Hilary akiwa na Natalie Makoma, mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka Congo alipotembelea  studio za BBC jijini London. Mwanamuziki huyu ni maarufu kwa nyimbo kibao zikiwemo 'Butu na Moyi', 'Moto Oyo, na 'Nzambe na Bomoyi' ulio katika mahadhi ya reggae. Hebu msikilize hapo chini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwanamziki wa Injili? Tizama alivyovalia!

    ReplyDelete
  2. Siku hizi hivi vitu haviendi kimaadili bali ni Title tu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...