Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu mama badala ya kujenga jamii anaweza kuihatarisha kwa kujaribu kushikilia vitu vingi mkononi ikiwepo vya kichwani. Wanawake wana multitask na kubalance mambo mengi maishani lakini si hivi.

    ReplyDelete
  2. Wasichana sikizeni. Kujitahidi shuleni ni rahisi kuliko maisha hayo mara 1000000000000000.

    ReplyDelete
  3. MashaaLah
    Laiti kama ningekuwa na mbavu ningempa mama huyu mtaji maana naona ni mtu aliye na nia ya kujivua umasikini
    Mungu amzidishie.

    ReplyDelete
  4. Hapana, hiyo imezidi na ni hatari kwake.

    ReplyDelete
  5. Nadhani haiko hivyo hiyo nafasi ya mwanamke katika kuijenga jamii, hapo inaonekana kama hana namna au jinsi ya kufanya na lisilobudi hutendwa. Hakuna mtu khususan mwanamke yeyote anaependa 'madhila' kama hayo, huko ni kujitesa na kujiumiza bure! Bubalance hilo dumu la maji huko kichwani inabidi ukomaze mishipa ya shingo, huko si ndio kujiathiri ki afya. Hii nadhani sio miongoni mwa nafasi zake katika kuijenga jamii, huku ni kumuumiza mwanamke asiye na 'option' zozote za kuweza kujikombowa na kujikwamuwa toka katika hali duni za kimaisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...