Baba akiwa amembeba mwanae Mgongoni huku akiendesha baiskeli yake kuelekea nyumbani kwake kama alivyonaswa na kamera mani wa Globu ya Jamii maeneo ya Manyoni,Mkoni Singida.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu baba katoa mpya hii siyo kawaida, inaonyesha mabadiliko.

    ReplyDelete
  2. Safi sana. Malezi ni kutoka kwa wazazi wote wawili.

    ReplyDelete
  3. Huyu ndiyo mwanamme haswa anajua wajibu wake wa kuwa baba.Inapaswa wanaume wote kuiga mfano wake na wanaume mtakuwa na heshima kubwa ya kweli katika jamii.

    ReplyDelete
  4. Hongera baba!
    Ila sidhani kama hayo maongezi ya simu aliyoipokea ni muhimu kuliko usalama wa mtoto.
    Alitakiwa asimame aongee na simu ,then aendelee na safari.
    Kumbuka hiyo ni baiskeli ina matairi mawili na umebeba kiumbe!
    Hongera sana ila weka usalama kwanza,simu baadaye!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...