Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya
Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo
(DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa
Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa
wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini
Zimbabwe(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hebu angalia upendo wa hawa viongozi, kwanini tung'ang'anie EAC ambako chuki na husda zimejaa. Tanzania inanafasi kubwa ya kupiga hatua za kimaendeleo tukiweka nguvu SADC na kuachana na hawa jamaa wenye tamaa ya ardhi yetu na sio marafiki wa kweli.
ReplyDelete