BEAUTY AND MUSIC NIGHT. Siku zinazidi kukaribia hadi Tarehe 30 August ambapo Kwenye Stage watakuwepo Sauti Sol, Yamoto, Skylight Band pamoja na Mirror. Hii show siyo ya kukosa. Pia Kutawepo na Red Carpet na ofa ya kupiga picha kali kwa watu wote watakongia. Njoo usikilize ladha ya muziki wa live katika Stage, Sound lights za Kisasa kabisa kutoka Legendary Music Company.
VENUE. ESCAPE 1 MIKOCHENI.
KIINGILIO. 15,000Tshs/-
Ticket za VIP zinapatikana kwa 50,000Tshs/-
Unaweza kupiga simu zilizopo katika poster kwa maelezo zaidi.
Hawa jamaa wakali. Sauti Sol. Yamoto Band na Skylight Band patachimbika hapo.
ReplyDelete