#DidYouKnow: Mpaka nusu ya mwaka 2014 zaidi ya makampuni 400 duniani yaliwekeza kwenye teknolojia ya #Smartwatch na nusu ya makampuni hayo yanatokea #China na #Marekani. Kwa nusu mwaka huo zaidi ya saa za kidigitali Mil 3.4 ziliuzwa duniani kote na kutengeneza faida ya zaidi ya Dola Milioni 700. Je,Tanzania imeipokea vipi teknolojia hii.? Kwa hayo na mengine mengi sikiliza uchambuzi yakinifu wa Brown Nyanza ndani ya #CloudsFm kesho kuanzia saa moja asubuhi kwenye kipindi cha Power Break-fast on Saturday na Abel Onesmo.
Brown Nyanza ni Mtanzania mtafutaji, anayejihusisha na mambo ya uchambuzi wa teknolojia ya vifaa vya kisasa vya kididitali (kwa kimombo Smart gadgets Analyst) ambaye utakuwa naye kwenye kipindi hicho> USIKOSE!
Safi sana kijana mtafutaji kwa kuwaelimisha watanzania. Tunahitaji watu wenye uwezo na weledi katika mambo yanayogusa jamii yetu. Hongera sana kaka Brown Nyanza
ReplyDeletehivi bado upo upo au?
ReplyDelete