Sikiliza ngoma ya kutia huzuni ya "Rote Rote Hasna Seekho" katika filamu ya "Andhaa Kanoon"

 Andha Kanoon (tafsiri yake “Sheria Pofu”) ni filamu ya Kihindi ya mwaka 1983 iliyoongozwa na mkongwe T. Rama Rao, na kuchezwa na Rajnikant, Hema Malini na  Reena Roy. Amitabh Bachchan na Madhavi pia walicheza nafasi ya wachezaji wageni wakicheza kama mume na mke.
Nyota wengine kwenye filamu hii walikuwa Pran, Danny Denzongpa, Amrish Puri, Madan Puri, Prem Chopra  na  Asrani.Dharmendra. Ilikuwa filamu iliyopigwa upya kufuatia ile ya mwaka 1981 ya kutoka Tamil ya  Sattam Oru Iruttarai iliyochezwa na  Vijayakanth 
Ngoma za filamu hii  za  "Rote Rote Hasna Seekho" na "Andhaa Kanoon" si mchezo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mie umenikumbusha...Uliokua ukumbi maarufu wa Sinema magomeni kagera maarufu kama Milano...sehemu ambapo tulikua tukienda tazama picha, kwa wakati huo picha za kihindi kipindi hiko zilikua zenye kutamba.........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...