Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama katika picha ya kumbukumbu katika Ikulu ya nchi hiyo (White House) wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Viongozi wa nchi za Afrika aliowaalika katika mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika jijini Washington DC wiki iliyoipita. Rais Obama na mkewe walipiga picha na kila kiongozi aliyehudhuria.
Home
Unlabelled
SIKU OBAMA NA MKEWE WALIPOPATA TASWIRA NA VIONGOZI WA AFRIKA WHITE HOUSE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...