Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akimjulia hali mjumbe wa Bunge Maalum kutoka kundi la 201 Mhe. Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma  baada ya kujeruhiwa na watu wasiojikana wakati akipata huduma katika duka moja lililopo karibu na mahali anapoishi Mjini Dodoma. Picha na Owen Mwandumbya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The mdudu,ndugu S SITTA ww kama mwenyekiti wa bunge hilo chukua uwamuzi mgumu wa kujiuzulu ili heshima yako ibaki palepale lakini kwa mwendo huo watanzania hawatakua na imani tena na ww kumbuka watu wanaotakiwa kugombea 2015 ww ndio number 1,,plz listop hilo bunge ili uyaokoe hayo mabilioni ya walipa kodi.

    ReplyDelete
  2. Mzee wangu Sita, usikatishwe tamaa na wale wote wakupingao. Hadi hivi sasa kwa upande wangu sijaona ubaya wa kauli yako ya kuvitaka vyombo vya habari kuchanganya watu wenye itikadi na fikra tofauti pale wanapoendesha Midahalo kwamba wasiwe watu wenye mtazamo mmoja. Midahalo ya jinsi hiyo haijengi kwani inapata mtazamo mmoja bila kuwa na mawazo mbadala. Kama Watumishi wa Mungu, tumemuomba Mungu hakika Katiba Mpya itapatikana. Mwenyekiti Sita songambele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...