Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4 iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya Hilux, VX na Prado.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Toyota Tanzania, Bw. Vinod Rustagi, akimkabidhi Kombe la ushindi wa jumla katika michezo yote mwakilishi wa timu ya RAV 4, Mumma Nyamhanga, wakati wa hafla ya Bonanza maalum la kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo lililofanyika kwenye ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam, mwishini mwa wiki. Kushoto ni mwamuzi wa michezo hiyo, Othman Kazi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Kwakweli yaonekana ilipendeza. Na msimuliaji nae wamo.
ReplyDeleteHii ya hawa wanoshindana kukuna nazi imenifurahisha, nikianza kui 'analyse' hapo, naona hao wawili wa mwanzo toka kulia, nakhisi kama si wageni na shughuli hiyo, huyo wa tatu kidogo anajitahidi tahidi ila huyo wa nne kwa huo mkao wake tu, nadhani hiyo nazi itasukuka yote kabla haijesha na hata akiimaliza na kifuu chote kishatoboka lol. By the way, nawapongeza nyote waandaaji na washiriki wote. Keep it up!
ReplyDelete