Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Mtera,wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa kuuelimisha umma juu ya masuala ya Maendeleo, Utekelezaji wa ilani Chama, Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za vijiji na mitaa, Bunge la Katiba na Mambo yanayohusu maendeleo ya katika vijiji na wilaya zetu.
Pia waliwakumbusha juu ya thamani ya muungano wetu na vipengele muhimu vinavyojadiliwa ndani ya Bunge la Katiba.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akihutubia kwenye Mkutano huo
Mbunge wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera , Asumpta Mshana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Iringa jimbo la Mtera jana nyuma ni mbunge wa jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...