Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Christopher Martin maarufu kama "Mbe"akihakiki hundi kabla ya kukabidhiwa rasmi. |
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin akikabidhi hundi iliyotolewa na kampuni ya Megatrade kwa katibu wa klabu ya Gofu ya Moshi Mohamed Nkya. |
Viongozi wa Kabu ya Gofo ya Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Staff wa kampuni ya Megatrade muda mfupi baada ya kukabidhi hundi ya kiasi cha shilingi milioni 3.5. |
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin akimuonesha uwanja utakaotumika kwa mashindano hayo Meneja Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd kanda ya kaskazini ,Edmund Rutaraka. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
La!! Golf la kibongo bwana ni vichekesho sana. Kiwanja chenyewe upara kabisa nyasi hata hazipo bwana. Hapo mpira utalenga tundu ipaswavyo kweli??? Jitahidi jamani kupanda majani na kutengeneza mazingira ili hadhi ipatikane.
ReplyDelete