Baadhi ya wachezaji wa Simba wakielekea kupanda boti katika
Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi
ya mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa
kuanzai hivi karibuni. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.
Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wenzake.
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda kuweka kambi ya Mazoezi Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...