Wafanyakazi wa Benki mbalimbali mkoani Kilimanjaro wakitoana jasho katika mashindano ya mbio za mita 400. |
Wafanyakazi wa Benki mbalimbali wakioneshana uwezo wa kusukuma Gogo katika Bonanza la Bankers Day lililofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika na Baiashara mjni Moshi. |
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki akionesha kuku baada ya kufanikiwa kumshika katika mashindano ya kukimbiza kuku. |
Wengine walioneshana uwezo katika kukimbia huku wakiwa wamevaa gunia. |
Kwa upande wa kamba mshindi hakuweza kupatikana kwa mara ya kwanza mchezo huo ulitoa Droo. |
Wengine walikuwa katika mashndano ya kupuliza Puto . |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
kanda ya kaskazini
kwa Picha zaidi tembelea
www.dixonbusagaga.blogspot.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...