Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.
Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.com
Wasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.
Chistian Bella huyoo langoni mwa pipa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi hivi kwa nini wasanii wanapenda kushika maeneo nyeti? au inaamsha mzuka?

    ReplyDelete
  2. WASANII HII IMEKAAKAA VIPI? Mbona kila anayeshuka KASHIKILIA NANI HIIIIIIII YAKE..........

    ReplyDelete
  3. Waitu munyegerege!!

    ReplyDelete
  4. Hawa vijana wanaiga watoto wa kimarekani, Suruali zao zinakuwa zinawashuka . wakivaa style yao ya kata mkundu bila mikanda, ili isishuke chini,


    Mdau Houston

    ReplyDelete
  5. Ndege aina ya..au ndege ya?

    ReplyDelete
  6. Kuiga wana muziki wa nje wanavaa milegezo suruali au kaputura zina shuka sasa inabidi wazishikilie hapo mbele kwenye nyeti,,, eti swaga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...