Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.
Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.com
Chistian Bella huyoo langoni mwa pipa.
Michuzi hivi kwa nini wasanii wanapenda kushika maeneo nyeti? au inaamsha mzuka?
ReplyDeleteWASANII HII IMEKAAKAA VIPI? Mbona kila anayeshuka KASHIKILIA NANI HIIIIIIII YAKE..........
ReplyDeleteWaitu munyegerege!!
ReplyDeleteHawa vijana wanaiga watoto wa kimarekani, Suruali zao zinakuwa zinawashuka . wakivaa style yao ya kata mkundu bila mikanda, ili isishuke chini,
ReplyDeleteMdau Houston
Ndege aina ya..au ndege ya?
ReplyDeleteKuiga wana muziki wa nje wanavaa milegezo suruali au kaputura zina shuka sasa inabidi wazishikilie hapo mbele kwenye nyeti,,, eti swaga.
ReplyDelete