Mshindi wakwanza wa shindano la uwekezaji
“DSE Scholar Investment Challenge 2014” Laurent Dyanko kutoka chou kikuu cha kilimo,
Sokoine University of Agriculture (SUA) akikabidhiwa zawadi wa shilingi milioni
moja na cheti cha ushindi
Mshindi wapili wa shindano la uwekezaji
“DSE Scholar Investment Challenge 2014” George Firimini kutoka chuo cha
usimaniza wa fedha, Institute of Finance Management (IFM) akikabidhiwa zawadi
wa shilingi laki sita na cheti cha ushindi
Mshindi watatu wa shindano la uwekezaji
“DSE Scholar Investment Challenge 2014” Godlove Kellya kutoka chuo kikuu cha
Dar es Salaam akikabidhiwa zawadi ya shilingi laki nne na cheti cha ushindi
Washindi
watatu bora shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014”
Laurent Dyanko, George Firmini na Godlove Kellya katika picha ya pamoja na mwakilishi
kutoka benki ya NMB, mkuu kitengo cha njia za huduma mbadala.
Afisa mtendaji mkuu wa Dar es Salaam Stock
Exchange akiongea na wanafunzi walioshiriki katika shindano la uwekezaji “DSE
Scholar Investment Challenge 2014” wakati wa hafla ya kuwatambua wanafunzi
hamsini bora na uandaaji wa mchakato wa kutafuta washindi watatu bora wa
shindano hilo. Katikati ni bwana George Kivaria mwakilishi benki ya NMB (wadhamini wa
mashindano) kushoto ni Sosthenes Kewe Mkurugenzi
wa taasisi ya uendelezaji wa huduma za fedha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...