 |
Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki
ya TIB,Jaffer Machano akizungumza wakati wa kikao
kifupi kati ya uongozi wa TIB na ule wa Manispaa ya Moshi juu ya
Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha Mabasi cha Ngangamfumuni
. |
 |
Kikao kinaendelea. |
 |
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary
Michael akizungumza wakati wa kikao hicho. |
 |
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban
Ntarambe akitoa neno la shukrani wakati ujumbe wa Benki ya TIB ulipotembelea ofisini kwake kwa ajili ya kukabidhi michoro
halisi ya kituo kikuu cha mabasi cha kisasa cha Ngangamfumuni
. |
 |
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya TIB, Peter Noni akimkabidhi
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael ,CD
ya mchoro
halisi wa Jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi
cha
Ngangamfumuni
mkoani Kilimanjaro |
 |
Uongozi wa Benki
ya TIB ulipofika ofisini kwa mkurugenzi wa manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe
kwa ajili ya kukabidhi michoro
halisi ya jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi cha Ngangamfuni.toka shoto ni Mkurugenzi mkuu wa
TIB ,Peter Noni,Jaffer Machano (Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa
TIB) |
Na Dixon Busagagawa Globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...